Kiswahili Homepage ya Jeff Forssell kuhusu Maisha Kijijini
Karibuni sana! Nilifanya kazi miaka minne Tanzania. Mke wangu alizaliwa Tanzania. Tunazungumza kiswahili na tunatumaini kufika Tanzania tena. (Betty anazungumza kinyarwanda pia.) Lakini ninategemea unajua kiingereza kama unashughulika na Internet. Kwa hivyo sitatafsiri ukurasa mwengine kwa "kitaro" (site=nafasi kwa Internet) yangu kwa kiswahili. Ninatumaini unaweza kutumia homepage ya kiingereza My Village technology English Homepage
Kama umetafuta kitu fulani na umefika site yangu na huoni kitu hiki, usijisikie umedanganywa. Nimeweka "key words" kuhusu vitu mbali mbali ninajali, hata kama sijawahi kuandika kuhusu kila kitu bado. Kama huoni kitu ulitafuta au kama hufahamu kitu niliandika kwa kiingereza, uniandikie! e-mail anwani wangu Kitaro changu binafsi (mahali pengine) My PERSONAL Homepage (on another server)